Kiswahili https://www.ajol.info/index.php/ksh Kiswahili is an interdisciplinary international journal devoted to the study of Kiswahili language, linguistics and literature. Its main aim is to gather and disseminate under a single cover a wide variety of research and discussion of fundamental concern to all those scholars who have an interest in Kiswahili language, linguistics and literature. en-US Copyright is owned by the journal. massamba45@gmail.com (D.P.B. Massamba) iks@udsm.ac.tz (F.N. Joster (Associate Editor/Mhariri Msaidizi)) Tue, 30 Jan 2024 07:54:06 +0000 OJS 3.3.0.11 http://blogs.law.harvard.edu/tech/rss 60 English-induced Semantic Expansion in Swahili https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263733
Equivalent lexical terms in different languages rarely match in all their shades of meanings. For example, a lexical term, which is a  polyseme in language A, is not necessarily a polyseme in language B with which it is in contact. However, this study reports a context  where equivalents in different languages influence each other’s scopes of meaning in a multilingual context. This corpus analysis reveals that a sizeable number of Swahili monosemes have changed to polysemes in emulating English polysemous equivalents with which they  are in contact. The analysis reveals that this powerful language-induced meaning expansion starts in less formal media, such as the  press, before spreading to formal media, such as the dictionary and the book.
Dunlop Ochieng Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263733 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000 A Systematic Description of Imbrication in Nyakyusa https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263735
This paper offers a systematic description of imbrication in Nyakyusa (M31). The review of the literature indicates that, in Nyakyusa, imbrication, a phonological change involving the opaque difference between the input and output forms in the -ile suffix, has not been systematically described. Hence, the paper offers this description by identifying triggering conditions and reconstructing the  phonological processes shaping imbrication. Data for this paper were collected in Kyela district through a review of written texts,  narrative stories, observation and interviews. The findings indicate that the syllable structure of the verb is the main determinant of  imbrication in Nyakyusa. Quite obviously, the process of imbrication involves the deletion of the consonant in the -ile, followed by  metathesis whereby the last consonant of the stem fills the empty slot caused by the deletion of [l]. Then, various adjustments that  follow, i.e., vowel coalescence, vowel deletion, vowel rising, leftward spread of vowel, and vowel lengthening, are meant to resolve hiatus.  The paper concludes that, based on the review of literature, although imbrication is common in some Bantu languages, we noted some  conditions and phonological processes shaping imbrication to be language specific. In this view, this paper recommends a systematic   comparative description of imbrication in other Bantu languages.
Nichodamus Robinson Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263735 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000 Faida ya Kujifunza kwa Kuegemea Mfumo wa Isimu ya Kiswahili: Mfano wa China https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263736
Makala3 hii inachunguza changamoto na faida zilizopo kwa wanaojifunza Kiswahili kwa kutumia mifumo ya kiada iliyopo nchini China.  Mifumo hii inaweza kujumuishwa katika makundi mawili4 . Kundi la kwanza ni mfumo ulioenea nchini China, kama maeneo mengine  ulimwenguni, ambao hugawa nomino katika umoja na wingi kama kielelezo kikuu. Kundi la pili ni mfumo ambao umetungwa kwa  kuiegemea isimu ya Kiswahili na ya lugha yake mame ya Kibantu. Data zilikusanywa uwandani kwa njia ya hojaji na mahojiano ya ana kwa  ana. Mbinu zilizotumika katika uchanganuzi wa data ni mkabala wa kimaelezo. Uchambuzi uliongozwa na Nadharia ya Uamilifu.  Matokeo yanaonesha kuwa mfumo ulioenea China si tofauti na ule ulioanzishwa nyakati za ukoloni, wakati ambapo mfumo wa isimu ya  Kiswahili haukutambulika na hata manufaa yake katika utunzi wa mitaala na vitabu vya Kiswahili hayakutiliwa maanani. Ingawa hali hii  huonekana kama inawafaa wanaoanza kujifunza Kiswahili angalau mwanzoni, baada ya muda mfupi huwa bayana kuwa baadhi ya  masuala yanayofundishwa katika lugha hii hayaelezeki kwa njia mwanana kimfumo.
Ning Yi, Fredrick Maiso Bosire Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263736 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000 Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984) https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263738
Makala hii inachunguza dhima ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio. Tafiti kuhusu matumizi ya ngoma katika tamthiliya  ya Kiswahili ya kimajaribio zimeishia katika ngazi ya kubainisha tu pasi na kuchambua dhima zake. Kitendo cha kubainisha tu bila  kuchambua dhima za ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio hakioneshi umuhimu wa kipengele hicho cha kifasihi simulizi  katika kazi za fasihi andishi. Data za makala hii zilipatikana maktabani kwa kusoma tamthiliya ya Lina Ubani kisha kuchambua dhima ya  ngoma. Uchambuzi wa data za makala hii umeongozwa na Nadharia ya Uamilifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa ngoma ina  dhima za kifani na kimaudhui katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio.
Aneth Kasebele Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263738 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000 Uathirianomatini wa Kimtindo katika Ushairi wa Kiswahili: Mfano wa “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona” https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263743
Bakhtin (1981) anaeleza kwamba matini za kifasihi huathiriana na kuhusiana. Kila matini ya kifasihi ina sauti zinazoingiliana na kuhusiana  na matini nyingine zilizopo, zilizopita au zijazo. Hata hivyo, Bakhtin haoni kama ushairi una uathiriano na ushairi mwingine sawia kama  inavyojitokeza katika riwaya. Baadhi ya wataalamu waliohakiki “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona” wanadai kuwa tenzi hizi  zimeathiriana. Makala hii inalenga kudhihirisha uathirianomatini wa kimtindo kati ya “Utenzi wa Hati” na “Utenzi wa Mwanakupona”  katika ushairi wa Kiswahili. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Usemezano ya Bakhtin. Ingawa, kwa mujibu wa nadharia hiyo, riwaya  ndio utanzu unaotegemea zaidi uathiriano na matini nyingine kuliko ushairi, makala hii inapanua mawanda yake kwa kuchunguza  uathiriano wa kimtindo katika ushairi. Matokeo ya utafiti huu yameonesha kuwapo kwa uathiriano wa muundo, msamiati, majibizano na   tamathali za semi.
Ali H. Chembea, Furaha J. Chai, Rocha M. Chimerah Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263743 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000 Trying the Sails from the Lamu Archipelago to the Arabian Gulf: The ‘death’ of Mtepe and Subsequent Rise of Jahazi https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263745
Matondoni2 village in the Lamu archipelago3 is known for its jahazi (dhow) building tradition. The Swahili used to build dhows without  using nails. Such dhows were known as mtepe (pl. mitepe). This article traces why mtepe became extinct and discusses jahazi building  traditions, beliefs, dances and sacrifices in Matondoni village. These include jahazi launch feast, sewing and trying the sail and the role of  the women’s vugo 4 dance. In addition, it investigates Swahili navigation and astronomy, from the Lamu archipelago to Arabia. The  article establishes that jahazi became more popular than mtepe due to the need for a stronger vessel to promote the emerging maritime  economy. The article finds that jahazi did not immediately replace mtepe, but the two coexisted until jahazi became the vessel of choice,  which stopped the production of mtepe.
Tom Olal Copyright (c) 2024 https://www.ajol.info/index.php/ksh/article/view/263745 Tue, 30 Jan 2024 00:00:00 +0000