PROMOTING ACCESS TO AFRICAN RESEARCH

Huria: Journal of the Open University of Tanzania

The AJOL site is currently undergoing a major upgrade, and there will temporarily be some restrictions to the available functionality.
-- Users will not be able to register or log in during this period.
-- Full text (PDF) downloads of Open Access journal articles will be available as always.
-- Full text (PDF) downloads of subscription based journal articles will NOT be available
We apologise for any inconvenience caused. Please check back soon, as we will revert to usual policy as soon as possible.

Muziki wa Hip Hop na Haki Za Kijamii: Dhima, Changamoto na Mapendekezo

H Jilala

Abstract


Haki za kijamii ni suala ibuka na la msingi kumakinikiwa katika uchunguzi na uchambuzi wa kazi za fasihi. Ni jambo ambalo linahitaji kujadiliwa na kuelezewa kwa jicho la kisanii. Sanaa ina nguvu sana katika kuelimisha, kuonya, kuadili, kuhamasisha, na kufunza. Ni dhahiri kuwa haki za kijamii zinaweza kuwasilishwa kwa jamii pana kupitia sanaa ya hip hop. Makala haya basi, yanabainisha dhima na mchango wa muziki wa hip hop katika masuala ya haki za kijamii, yanafafanua changamoto za muziki huu katika kuwasilisha haki za kijamii na kutoa mapendekezo kwa makundi husika.AJOL African Journals Online