Fasihi ya Kiswahili na rushwa Tanzania: Thomas A. R. Kamugisha na Kitu Kidogo Tu

  • E.S Mwaifuge University of Dar es Salaam

Abstract

Makala hii inajaribu kuelezea mchango wa fasihi ya Kiswahili katika kuijadili rushwa. Kwa kurejea kwenye Riwaya ya Thomas A.R. Kamugisha Kitu Kidogo tu! makala hii inasawilisha miongo takribani mitatu ya dhana ya “kitu kidogo” na athari zake kwa jamii ya Tanzania. Kwa kuijadili riwaya ya Kitu Kidogo tu! makala hii inajaribu pia kutoa picha ya Tanzania ya leo na kesho.

Author Biography

E.S Mwaifuge, University of Dar es Salaam
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Fasihi
Section
Articles

Journal Identifiers


eISSN: 0856-552X
print ISSN: 0856-552X