Main Article Content

Fasihi ya wototo katika kutekeleza mahitaji ya mtoto kisaikolojia


Pamela M.Y. Ngugi

Abstract

Lengo la makala haya ni kubainisha umuhimu wa fasihi ya watoto katika kutekeleza mahitaji yao kisaikolojia. Katika kufanya hivi tumezingatia masuala mbalimbali yanayohusu sifa bainifu za watoto pamoja na kujadili vipengele muhimu katika fasihi ya watoto na kuonesha jinsi vinavyochangia katika kumnufaisha mtoto kisaikolojia.

Journal Identifiers


eISSN: 0023-1886