Main Article Content

Majibu Kwa Makala “Mkanganyiko Wa Dhana Za Mzizi, Kiini Na Shina” Yaliyoandikwa Na Joash J. Gambarage


Y Kihore

Abstract

Masuala yanayojadiliwa na Gambarage ni ya uwanja wa mofolojia au sarufimaumbo  katika taaluma ya isimu. Uwanja huu unaochunguza maneno na muundo wake katika lugha unajihusisha na vipengele na michakato mingi ambayo, kwa hakika itabidi iendelee kuchunguzwa kwa namna mbalimbali. Mchunguzi wa makala yanayojadiliwa amehoji na kujadili dhana tatu tu ambazo ameona maelezo yake hayajakaa sawasawa

Journal Identifiers


eISSN: 0023-1886