PROMOTING ACCESS TO AFRICAN RESEARCH

Kiswahili

Log in or Register to get access to full text downloads.

Remember me or RegisterDOWNLOAD FULL TEXT Open Access  DOWNLOAD FULL TEXT Subscription or Fee Access

Viambishi-Ngeli katika Nomino za Pekee: Mifano kutoka katika Majina ya Mahali katika Kihaya

A Buberwa

Abstract


Makala haya yanawakilisha uchambuzi wa kimofolojia, wa awali, wa majina ya mahali katika Kihaya, mojawapo ya lugha za Kibantu inayozungumzwa Kaskazini-Mashariki mwa Ziwa Nyanza, Tanzania. Kazi hii inalenga kubainisha viambishi-ngeli katika majina ya mahali, kudadisi utokezi wa viambishi-ngeli zaidi ya kimoja katika nomino moja, na kufafanua dhima zinazodokezwa katika viambishi-ngeli hivyo. Madai yanayoongoza makala haya ni kwamba viambishi-ngeli katika majina ya mahali  hutokana na nomino za kawaida ambazo kwazo majina ya mahali huundwa.
AJOL African Journals Online